Up next

Mabata Madogo | Small Ducks Swim Nursery Rhyme in Swahili | Nyimbo za Watoto | Swahili Children Song

95 Views· 08/09/20
jodvie
jodvie
7 Subscribers
7
In Other

Mabata madogo madogo,
Yanaogelea, yanaogelea,
katika shamba zuri la bustani,
Yanapenda kulia,
kwa kwa kwa kwa kwaaa kwa,
kwa kwa kwa kwa kwaaa kwa,
katika shamba zuri la bustani,

Yanapenda kulia,
kwa kwa kwa kwa kwaaa kwa,
kwa kwa kwa kwa kwaaa kwa,
katika shamba zuri la bustani,

Yanapenda kutembea bila viatu, bila viatu,
Katika shamba zuri la bustani,
Yanapenda kutembea bila viatu, bila viatu,
Katika shamba zuri la bustani,

Show more

 0 Comments sort   Sort By


Facebook Comments

Up next